Hongera sana Millen Magese. Hii inatufunza kutokata tamaa. Endelea kumuomba Mwenyezimungu na kumuamini Mwenyezimungu na usikate tamaa. Sote tunajua matatizo, mateso na maumivu aliyopitia/anayopitia.
Congratulations once again And welcome to the world baby Kairo.