Kwenye mada yetu ya leo ya mishono ya vitenge, tunawaletea style ya jumpsuits. Unaweza kushona kwa kutumia kitenge cha aina moja na kuna wengine kutumia vitenge viwili tofauti. Ukitumia vitenge viwili tofauti hakikisha rangi au design zinaendana kidogo.
Kama una mishono ungependa tuweke kwenye blog yetu, usisite kututumia kupitia email au Facebook yetu.
Unaweza kuivalia na mkanda ambao umetengenezwa kwa kitenge aina chengine Au bila mkanda inapendeza pia Vitenge aina mbili tofauti, ila rangi inaingiliana. Kama hapa vimetumika vitenge aina tatu tofauti na mikono wameweka kitambaa cha jeans.
NB: email for credit/removal
You must be logged in to post a comment.