Kuelekea siku ya sikukuu ya Eid hizi hapa ni baadhi ya style za nguo za watoto.
NB: email for credit/removal.
Baadhi ya style ya skirts za mishono ya vitenge .
Fashion ya vitenge huwa haiishi. Haya hapa ni baadhi ya mishono ya magauni ya vitenge.
Beautiful Waist beads
beautiful masai slippers
Nawaletea tena baadhi ya mishono ya magauni. Enjoy
baadhi ya mishono ya vitenge kwa ajili ya wanaume. Inapendeza kama Baba akishona sare na mtoto wake wa kiume.
You must be logged in to post a comment.