Nawaletea part 2 ya mishono ya vitenge ya magauni marefu.


















Nawaletea part 2 ya mishono ya vitenge ya magauni marefu.
Nawaletea kwenu mishono ya vitenge ya magauni marefu. Ni mishono mizuri mno kiasi ya kwamba najiuliza, ” je nikimpelekea fundi Ibrahim ataweza kunitolea kama hivi kweli? “😂😂
Rangi za vitenge nimezipenda pia.
Kwenye mada yetu ya leo ya mishono ya vitenge, tunawaletea style ya jumpsuits. Unaweza kushona kwa kutumia kitenge cha aina moja na kuna wengine kutumia vitenge viwili tofauti. Ukitumia vitenge viwili tofauti hakikisha rangi au design zinaendana kidogo.
Kama una mishono ungependa tuweke kwenye blog yetu, usisite kututumia kupitia email au Facebook yetu.
NB: email for credit/removal
Baadhi ya style ya skirts za mishono ya vitenge .
Fashion ya vitenge huwa haiishi. Haya hapa ni baadhi ya mishono ya magauni ya vitenge.
You must be logged in to post a comment.