Baadhi ya style ya skirts za mishono ya vitenge .
Tag: vitenge
Mishono ya magauni
Nawaletea tena baadhi ya mishono ya magauni. Enjoy
Mishono ya vitenge – for men
baadhi ya mishono ya vitenge kwa ajili ya wanaume. Inapendeza kama Baba akishona sare na mtoto wake wa kiume.
Mishono ya vitenge – Gauni ndefu
Baadhi ya mishono ya vitenge ya magauni marefu.
African Prints
Baadhi ya mishono ya vitenge kwa watoto. Mzazi unaweza pia kushona sare na mwanao. Enjoy